Dan. 2:27 SUV

27 Danieli akajibu mbele ya mfalme, akasema, Ile siri aliyoiuliza mfalme, wenye hekima hawawezi kumfunulia mfalme; wala wachawi, wala waganga, wala wanajimu;

Kusoma sura kamili Dan. 2

Mtazamo Dan. 2:27 katika mazingira