Dan. 2:28 SUV

28 lakini yuko Mungu mbinguni afunuaye siri, naye amemjulisha mfalme Nebukadreza mambo yatakayokuwa siku za mwisho.Ndoto yako, na njozi za kichwa chako ulizoziona kitandani pako, ni hizi;

Kusoma sura kamili Dan. 2

Mtazamo Dan. 2:28 katika mazingira