Dan. 2:31 SUV

31 Wewe, Ee Mfalme, uliona, na tazama, sanamu kubwa sana. Sanamu hii, iliyokuwa kubwa sana, na mwangaza wake mwingi sana, ilisimama mbele yako; na umbo lake lilikuwa lenye kutisha.

Kusoma sura kamili Dan. 2

Mtazamo Dan. 2:31 katika mazingira