Dan. 2:30 SUV

30 Lakini mimi, sikufunuliwa siri hii kwa sababu ya hekima iwayo yote niliyo nayo zaidi ya watu wengine walio hai, bali kusudi mfalme afunuliwe ile tafsiri, nawe upate kujua mawazo ya moyo wako.

Kusoma sura kamili Dan. 2

Mtazamo Dan. 2:30 katika mazingira