Dan. 2:4 SUV

4 Ndipo hao Wakaldayo wakamwambia mfalme, kwa lugha ya Kiaramu, Ee Mfalme, uishi milele; tuambie sisi watumishi wako ile ndoto, nasi tutakuonyesha tafsiri yake.

Kusoma sura kamili Dan. 2

Mtazamo Dan. 2:4 katika mazingira