Dan. 2:5 SUV

5 Mfalme akajibu, akawaambia Wakaldayo, Neno lenyewe limeniondoka; msiponijulisha ile ndoto na tafsiri yake, mtakatwa vipande vipande, na nyumba zenu zitafanywa jaa.

Kusoma sura kamili Dan. 2

Mtazamo Dan. 2:5 katika mazingira