Dan. 2:49 SUV

49 Tena, Danieli akamwomba mfalme, naye akawaweka Shadraka, na Meshaki, na Abednego, wawe juu ya mambo yote ya uliwali wa Babeli; lakini huyo Danieli alikuwa akiketi katika lango la mfalme.

Kusoma sura kamili Dan. 2

Mtazamo Dan. 2:49 katika mazingira