Dan. 3:1 SUV

1 Nebukadreza, mfalme, alifanya sanamu ya dhahabu, ambayo urefu wake ulikuwa ni dhiraa sitini, na upana wake dhiraa sita; akaisimamisha katika uwanda wa Dura, katika wilaya ya Babeli.

Kusoma sura kamili Dan. 3

Mtazamo Dan. 3:1 katika mazingira