Dan. 4:26 SUV

26 Na kwa kuwa waliamuru kukiacha kisiki cha shina lake; ufalme wako utakuwa imara kwako, baada ya wewe kujua ya kuwa mbingu ndizo zinazotawala.

Kusoma sura kamili Dan. 4

Mtazamo Dan. 4:26 katika mazingira