Dan. 4:27 SUV

27 Kwa sababu hiyo, Ee mfalme, shauri langu lipate kibali kwako; ukaache dhambi zako kwa kutenda haki, ukaache maovu yako kwa kuwahurumia maskini; huenda ukapata kuzidishiwa siku zako za kukaa raha.

Kusoma sura kamili Dan. 4

Mtazamo Dan. 4:27 katika mazingira