Dan. 4:8 SUV

8 Bali hatimaye Danieli akaingia mbele yangu, ambaye jina lake ni Belteshaza, kwa kufuata jina la mungu wangu; tena ndani yake inakaa roho ya miungu watakatifu; nikamhadithia ile ndoto, nikisema,

Kusoma sura kamili Dan. 4

Mtazamo Dan. 4:8 katika mazingira