Dan. 4:9 SUV

9 Ee Belteshaza, mkuu wa waganga, kwa sababu ninajua ya kuwa roho ya miungu watakatifu inakaa ndani yako, na ya kuwa hapana neno la siri likushindalo, niambie njozi za ndoto yangu niliyoiona, na tafsiri yake.

Kusoma sura kamili Dan. 4

Mtazamo Dan. 4:9 katika mazingira