Dan. 6:16 SUV

16 Basi mfalme akatoa amri, nao wakamleta Danieli, wakamtupa katika tundu la simba. Mfalme akanena, akamwambia Danieli, Mungu wako unayemtumikia daima, yeye atakuponya.

Kusoma sura kamili Dan. 6

Mtazamo Dan. 6:16 katika mazingira