Dan. 6:17 SUV

17 Likaletwa jiwe, likawekwa mdomoni mwa lile tundu; naye mfalme akalitia muhuri kwa muhuri yake mwenyewe, na kwa muhuri ya wakuu wake, lisibadilike neno lo lote katika habari za Danieli.

Kusoma sura kamili Dan. 6

Mtazamo Dan. 6:17 katika mazingira