Dan. 6:2 SUV

2 na juu yao akaweka wakubwa watatu, na Danieli alikuwa mmoja wao; ili maliwali hawa watoe hesabu kwao, mfalme asipate hasara.

Kusoma sura kamili Dan. 6

Mtazamo Dan. 6:2 katika mazingira