Dan. 6:3 SUV

3 Basi Danieli huyo alipata sifa kuliko wakubwa na maliwali, kwa kuwa roho bora ilikuwa ndani yake; naye mfalme akaazimu kumweka juu ya ufalme wote.

Kusoma sura kamili Dan. 6

Mtazamo Dan. 6:3 katika mazingira