Dan. 8:21 SUV

21 Na yule beberu, mwenye manyoya mengi, ni mfalme wa Uyunani; na ile pembe kubwa iliyo kati ya macho yake ni mfalme wa kwanza.

Kusoma sura kamili Dan. 8

Mtazamo Dan. 8:21 katika mazingira