Dan. 8:22 SUV

22 Tena katika habari ya pembe ile iliyovunjika, ambayo badala yake zilisimama pembe nne, falme nne zitasimama kutoka katika taifa lile, lakini si kwa nguvu kama zake.

Kusoma sura kamili Dan. 8

Mtazamo Dan. 8:22 katika mazingira