Dan. 9:14 SUV

14 Basi BWANA ameyavizia mabaya hayo, akatuletea; maana BWANA, Mungu wetu ni mwenye haki katika kazi zake zote azitendazo; na sisi hatukuitii sauti yake.

Kusoma sura kamili Dan. 9

Mtazamo Dan. 9:14 katika mazingira