Est. 2:17 SUV

17 Mfalme akampenda Esta kuliko wanawake wote, naye akapata neema na kibali machoni pake kuliko mabikira wote; basi akamtia taji ya kifalme kichwani pake, akamfanya awe malkia badala ya Vashti.

Kusoma sura kamili Est. 2

Mtazamo Est. 2:17 katika mazingira