Est. 2:18 SUV

18 Ndipo mfalme alipowafanyia karamu kubwa maakida wake wote na watumishi wake, yaani, karamu yake Esta; akafanya msamaha katika majimbo yote, akatoa zawadi sawasawa na ukarimu wa mfalme.

Kusoma sura kamili Est. 2

Mtazamo Est. 2:18 katika mazingira