Eze. 1:1 SUV

1 Ikawa katika mwaka wa thelathini, mwezi wa nne, siku ya tano ya mwezi, nilipokuwa pamoja na watu waliohamishwa, karibu na mto Kebari, mbingu zilifunuka, nikaona maono ya Mungu.

Kusoma sura kamili Eze. 1

Mtazamo Eze. 1:1 katika mazingira