Eze. 1:10 SUV

10 Kwa habari za mfano wa nyuso zao; walikuwa na uso wa mwanadamu; na hao wanne walikuwa na uso wa simba upande wa kuume; na hao wanne walikuwa na uso wa ng’ombe upande wa kushoto; na hao wanne walikuwa na uso wa tai pia.

Kusoma sura kamili Eze. 1

Mtazamo Eze. 1:10 katika mazingira