Eze. 1:15 SUV

15 Basi, nilipokuwa nikivitazama vile viumbe hai, tazama, gurudumu moja juu ya nchi, karibu na kila kimoja cha vile viumbe hai, pande zake zote nne.

Kusoma sura kamili Eze. 1

Mtazamo Eze. 1:15 katika mazingira