17 Waliposimama hao, hayo nayo yalisimama; na walipopaa juu hao, hayo nayo yalipaa juu pamoja nao; maana roho ya huyo kiumbe hai ilikuwa ndani yao.
Kusoma sura kamili Eze. 10
Mtazamo Eze. 10:17 katika mazingira