5 Na sauti ya mabawa ya makerubi ikasikiwa, hata katika ua wa nje, kama sauti ya Mungu Mwenyezi, asemapo.
Kusoma sura kamili Eze. 10
Mtazamo Eze. 10:5 katika mazingira