Eze. 10:9 SUV

9 Nami nikaangalia, na tazama, yalikuwako magurudumu manne karibu na makerubi, gurudumu moja karibu na kerubi mmoja, na gurudumu lingine karibu na kerubi mwingine; na kuonekana kwa magurudumu kulikuwa kana kwamba ni zabarajadi.

Kusoma sura kamili Eze. 10

Mtazamo Eze. 10:9 katika mazingira