10 Mtaanguka kwa upanga; nitawahukumu katika mpaka wa Israeli; nanyi mtajua ya kuwa mimi ndimi BWANA.
Kusoma sura kamili Eze. 11
Mtazamo Eze. 11:10 katika mazingira