19 Nami nitawapa moyo mmoja, nami nitatia roho mpya ndani yao; nami nitauondoa moyo wa kijiwe katika miili yao, nami nitawapa moyo wa nyama;
Kusoma sura kamili Eze. 11
Mtazamo Eze. 11:19 katika mazingira