Eze. 11:24 SUV

24 Na roho hiyo ikaniinua, ikanichukua katika maono, kwa nguvu za roho ya Mungu, hata Ukaldayo, kwa watu wale wa uhamisho. Basi maono niliyoyaona yakaniacha.

Kusoma sura kamili Eze. 11

Mtazamo Eze. 11:24 katika mazingira