Eze. 11:5 SUV

5 Roho ya BWANA ikaniangukia, naye akaniambia, Nena, BWANA asema hivi; Mmesema maneno hayo, Enyi nyumba ya Israeli; maana mimi nayajua yaingiayo katika mioyo yenu.

Kusoma sura kamili Eze. 11

Mtazamo Eze. 11:5 katika mazingira