Eze. 12:12 SUV

12 Naye mkuu aliye kati yao atachukua begani katika giza; naye atatoka kwenda zake; watatoboa mahali ukutani, wapate kuvichukua vyombo vyao nje; atafunika uso wake, kwa sababu hataiona nchi kwa macho yake.

Kusoma sura kamili Eze. 12

Mtazamo Eze. 12:12 katika mazingira