Eze. 12:18 SUV

18 Mwanadamu, ule chakula chako kwa matetemo, ukanywe maji yako kwa kutetemeka na kwa kuyatunza sana;

Kusoma sura kamili Eze. 12

Mtazamo Eze. 12:18 katika mazingira