Eze. 12:20 SUV

20 Na miji yote yenye watu itakuwa maganjo, nayo nchi itakuwa ukiwa; nanyi mtajua ya kuwa mimi ndimi BWANA.

Kusoma sura kamili Eze. 12

Mtazamo Eze. 12:20 katika mazingira