Eze. 12:25 SUV

25 Maana mimi ni BWANA; mimi nitanena, na neno lile nitakalolinena litatimizwa; wala halitakawilishwa tena; maana katika siku zenu, Ewe nyumba iliyoasi, nitalinena neno hilo na kulitimiza, asema Bwana MUNGU.

Kusoma sura kamili Eze. 12

Mtazamo Eze. 12:25 katika mazingira