28 Basi uwaambie, Bwana MUNGU asema hivi; Maneno yangu hayatakawilishwa tena hata moja, bali neno nitakalolinena litatimizwa, asema Bwana MUNGU.
Kusoma sura kamili Eze. 12
Mtazamo Eze. 12:28 katika mazingira