Eze. 12:4 SUV

4 Nawe utatoa vyombo vyako, wakati wa mchana, mbele ya macho yao, kana kwamba ni vyombo vya kuhamishwa; nawe mwenyewe utatoka, wakati wa jioni, mbele ya macho yao, kama watu watokavyo katika kuhamishwa.

Kusoma sura kamili Eze. 12

Mtazamo Eze. 12:4 katika mazingira