Eze. 13:10 SUV

10 Kwa sababu hiyo, kwa sababu wameshawishi watu wangu, wakisema, Amani; wala hapana amani; na mtu mmoja ajengapo ukuta, tazama, waupaka chokaa isiyokorogwa vema;

Kusoma sura kamili Eze. 13

Mtazamo Eze. 13:10 katika mazingira