Eze. 13:23 SUV

23 basi, kwa sababu hiyo ninyi hamtaona tena ubatili, wala kutabiri mambo; nami nitawaokoa watu wangu katika mikono yenu; nanyi mtajua ya kuwa mimi ndimi BWANA.

Kusoma sura kamili Eze. 13

Mtazamo Eze. 13:23 katika mazingira