Eze. 13:6 SUV

6 Wameona ubatili, na uganga wa uongo, hao wasemao, BWANA asema; lakini BWANA hakuwatuma; nao wamewatumainisha watu ya kuwa neno lile litatimizwa.

Kusoma sura kamili Eze. 13

Mtazamo Eze. 13:6 katika mazingira