Eze. 14:21 SUV

21 Maana Bwana MUNGU asema hivi; Je! U zaidi sana nitakapoleta hukumu zangu nne zilizo kali juu ya Yerusalemu, yaani, upanga, na njaa, na wanyama wabaya, na tauni, niwakatilie mbali nayo wanadamu na wanyama?

Kusoma sura kamili Eze. 14

Mtazamo Eze. 14:21 katika mazingira