Eze. 14:3 SUV

3 Mwanadamu, watu hawa wametwaa vinyago vyao na kuvitia mioyoni mwao, nao wameweka kwazo la uovu wao mbele ya nyuso zao. Je! Ni laiki yangu niulizwe na wao katika neno lo lote?

Kusoma sura kamili Eze. 14

Mtazamo Eze. 14:3 katika mazingira