Eze. 14:8 SUV

8 nami nitaukaza uso wangu juu ya mtu yule, na kumfanya kuwa ajabu, awe ishara na mithali, nami nitamkatilia mbali, asiwe kati ya watu wangu; nanyi mtajua ya kuwa mimi ndimi BWANA.

Kusoma sura kamili Eze. 14

Mtazamo Eze. 14:8 katika mazingira