Eze. 16:11 SUV

11 Nikakupamba kwa mapambo pia, nikatia vikuku mikononi mwako, na mkufu shingoni mwako.

Kusoma sura kamili Eze. 16

Mtazamo Eze. 16:11 katika mazingira