Eze. 16:13 SUV

13 Hivyo ulipambwa kwa dhahabu na fedha; na mavazi yako yalikuwa ya kitani safi, na hariri, na kazi ya taraza; ulikula unga mzuri, na asali, na mafuta; nawe ulikuwa mzuri mno, ukafanikiwa hata kufikilia hali ya kifalme.

Kusoma sura kamili Eze. 16

Mtazamo Eze. 16:13 katika mazingira