Eze. 16:17 SUV

17 Pia ulivitwaa vyombo vyako vya uzuri, vya dhahabu yangu na vya fedha yangu, nilivyokupa, ukajifanyia sanamu za wanaume, ukafanya mambo ya kikahaba pamoja nazo;

Kusoma sura kamili Eze. 16

Mtazamo Eze. 16:17 katika mazingira