Eze. 16:28 SUV

28 Pia umefanya mambo ya kikahaba pamoja na Waashuri, kwa sababu ulikuwa huwezi kushibishwa; naam, umefanya mambo ya kikahaba pamoja nao, wala hujashiba bado.

Kusoma sura kamili Eze. 16

Mtazamo Eze. 16:28 katika mazingira