Eze. 16:37 SUV

37 basi, tazama, nitawakusanya wapenzi wako wote ambao umejifurahisha pamoja nao, nao wote uliowapenda, pamoja na watu wote uliowachukia; naam, nitawakusanya juu yako pande zote, na kuwafunulia uchi wako, wapate kuuona uchi wako wote.

Kusoma sura kamili Eze. 16

Mtazamo Eze. 16:37 katika mazingira