Eze. 16:39 SUV

39 Tena nitakutia katika mikono yao, nao watapaangusha mahali pako pakuu, na kupabomoa mahali pako palipoinuka, nao watakuvua nguo zako, na kutwaa vyombo vyako vya uzuri, nao watakuacha uchi, huna nguo.

Kusoma sura kamili Eze. 16

Mtazamo Eze. 16:39 katika mazingira