Eze. 16:45 SUV

45 Wewe u binti ya mama yako, amchukiaye mume wake na watoto wake; nawe u umbu la maumbu yako, waliowachukia waume zao na watoto wao; mama yako alikuwa Mhiti, na baba yako Mwamori.

Kusoma sura kamili Eze. 16

Mtazamo Eze. 16:45 katika mazingira